YANGA YAIFUNGA CBE 6-0

 



Yatinga makundi kibabe
Wananchi, Young Africans Sc wametinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa jumla wa 7-0 dhidi ya CBE ya Ethiopia kwenye mchezo wa hatua ya kwanza.


Yanga Sc 🇹🇿 6-0 🇪🇹 CBE SA (Agg. 7-0)
⚽ Chama 35'
⚽ Mzize 46'
⚽ Aziz Ki 74'
⚽ Mudathir 87'
⚽ Abuya 90+1'
⚽ Aziz Ki 90+3'

Post a Comment

0 Comments