WAZIRI MKUU MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS SAMIA KATIKA BARAZA LA MAULID


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 16, 2024 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Baraza la Maulid yanayofanyika kitaifa mkoani Geita kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu.

Post a Comment

0 Comments