RC MACHA ATEMBELEA MAENEO YENYE MIGOGORO YA ARDHI KAHAMA

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha ametembelea maeneo yenye migogoro wilayani Kahama ili kuyapatia utatuzi na ufumbuzi huku akiweka bayana kwamba Wilaya ya Kahama inaongoza kwa migogoro ya ardhi mkoani humo.

Akizungumza wakati akitembelea maeneo hayo Septemba 23,2024 Mhe. Macha amesema anaendelea kutembelea maeneo yenye migogoro ili kutatua migogoro hiyo.

“Kati ya Migogoro 109 ya ardhi tuliyoisajili katika Mkoa wa Shinyanga, asilimia 70 ya Migogoro ipo Kahama na mingi siyo migogoro ya leo wala jana, ni migogoro ya siku nyingi ukiwemo huu mgogoro wa eneo kati ya bwana Julius Lyatuu na mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Molo uliopo katika Mtaa wa Mtakuja kata ya Nyahanga”,amesema Mhe. Macha.

“Leo tumetenga siku hii kwa ajili ya kutatua migogoro ya ardhi , hapa Kahama kuna migogoro mingi, nimeambatana na viongozi mbalimbali, tutaenda kukaa ili kufanya maamuzi",ameongeza.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati akitembelea maeneo yenye migogoro wilayani Kahama ili kuyapatia utatuzi na ufumbuzi Septemba 23,2024 - Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati akitembelea maeneo yenye migogoro wilayani Kahama ili kuyapatia utatuzi na ufumbuzi Septemba 23,2024
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akitembelea maeneo yenye migogoro wilayani Kahama ili kuyapatia utatuzi na ufumbuzi Septemba 23,2024

Moja kati ya maeneo yenye migogoro wilayani Kahama
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akitembelea maeneo yenye migogoro wilayani Kahama ili kuyapatia utatuzi na ufumbuzi Septemba 23,2024

Post a Comment

0 Comments