KIKAO CHA WADAU WA SEKTA YA MADINI JIJINI DODOMA; MAPENDEKEZO YA MABORESHO YA KANUNI ZA WAJIBU WA WAMILIKI WA LESENI ZA MADINI KWA JAMII(CSR) YA MWAKA 2023




Baadhi ya Viongozi na Wadau mbalimbali wa Sekta ya Madini tayari wamewasili katika Ukumbi wa Mikutano wa St. Gasper Jijini Dodoma kwa ajili ya kushiriki Kikao cha wadau kupokea mapendekezo ya maboresho ya Kanuni za Wajibu wa wamiliki wa leseni za Madini kwa Jamii (CSR) ya Mwaka 2023.



Kikao hicho kinafanyika leo Agosti 15, 2024 ambapo Wadau mbalimbali ambao ni Wamiliki wa Leseni (Makampuni ya Uchimbaji), wataalamu kutoka Halmshauri mbalimbali nchini ambako shughuli za madini zinafanyika kwa wingi.


Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa anafungua kikao hicho.



Taarifa kamili itawasilishwa baadaye.

Post a Comment

0 Comments