MWENEZI MAKALLA AANZA NA UKAGUZI WA JENGO LA SHULE YA GHOROFA MINAZI MIREFU JIMBO LA SEGEREA





Katibu wa NEC Itikadi,Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla amekagua Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Kisasa na ya Ghorofa ya Minazi Mirefu iliyopo Jimbo la Segerea nf
a Wilaya ya Ilala .Jengo jipya linalojengwa Lina Madarasa 20 ambayo yako hatua za Umaliziaji .

CPA Makalla amesema Mkoa wa Dar es salam unajengwa Majengo ya Kisasa ya Ghorofa Majengo ya Ghorofa likiwemo Hili la Minazi Mirefu tuna kila Sababu ya kumpongeza Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwekeza

kwenye suala la Elimu na sio Jengo hili tu pale Liwiti Jengo la Ghorofa na Wanafunzi wameshaanza kutumia.


Post a Comment

0 Comments