MHE.KAPINGA ASHIRIKI HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA



📌 *Aasa bidii katika utendaji kazi*




Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga Julai 21, 2024 ameshiriki katika harambee ya ujenzi wa Kanisa Katoliki Kigango cha Kingole Wilaya ya Mbinga Vijijini.


Katika harambee hiyo, Mhe. Kapinga amewaasa waumini kuendelea kumcha Mwenyezi Mungu kwa sala.


Aidha, amewaasa wananchi kufanya kazi kwa bidii kwani kila mmoja ana nafasi yake katika ujenzi wa uchumi wa Taifa.














Post a Comment

0 Comments