KLABU YA SIMBA YATAMBULISHA JEZI ZA MSIMU MPYA 2024\2025



Uongozi wa klabu ya Simba SC chini ya Mwenyeketi wa klabu Murtaza Mangungu wametambulisha Jezi mpya leo Julai 24, 2024 za msimu wa 2024/25 katika Mbuga ya Mikumi, Mkoani Morogoro.




Huu ni muonekano wa Jezi mpya za ubaya ubwela Simba SC.


Post a Comment

0 Comments