FANIKIWA JOURNALISM SCHOOL INAWATANGAZIA NAFASI YA KUJIUNGA NA MASOMO

Je! unataka kuwa Mwandishi na Mtangazaji Bora wa vipindi mbali mbali vya Redio na Tv?? Mhriri wa habari zote za magazeti, radio,tv na Mitandaoni?basi sehemu pekee unaweza fanikisha ndoto Yako hiyo ni Fanikiwa journalism school.

Tuna studio za Kisasa za radio na Tv, Maabara ya computer Kwaajili bya kujifunza kwa vitendo. ada Zetu ni nafuu kabisa na Unalipa kidgo kidgo.

Kwa Muombaji wa kidato Cha Nne awe na ufaulu wa angalau D nne tu.

Tunajifunza kwa vitendo kwa asilimia Kubwa ili kumuandaa Mwanafunzi wetu kuwa mfanyakazi Bora katika tasnia ya Habari.

Usajili unaendeleaje Chuoni karibu Tukuhudumie , Muhula mpya wa Masomo utaanza October 7/2024.

Pia tunafundisha Kwa masafa (Distance Learning)kwa wale waliopo kazini.

Karibu Fanikiwa Journalism school Arusha tukupe elimu Bora kabisa yenye viwango Vya Hali ya Juu.

Post a Comment

0 Comments